Wakiwa na nyuso za furaha ni  Watanzania Pastor Emmanue Masanja Mbaaga (Kulia), Milcah Thomas (kati) na Mghana  Pastor Charles Koomson  (Kushoto) ambao  wahitimu wa shahada ya uzamili wakipiga picha ya pamoja kabla ya kupokea shahada zao jana, Jumamosi May 11, 2013, katika chuo kikuu cha Liberty , Lynchburg, Virginia,  nchini Marekani `
Wakiwa na nyuso za furaha ni  Watanzania Pastor Emmanue Masanja Mbaaga (Kulia), Milcah Thomas (kati) na Mghana  Pastor Charles Koomson  (Kushoto) ambao  wahitimu wa shahada ya uzamili wakipiga picha ya pamoja kabla ya kupokea shahada zao jana, Jumamosi, May 11, 2013, katika chuo kikuu cha Liberty, Lynchburg, Virgia nchini Marekani 



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2013

    Hongera sana Wanandugu kwa kusoma na kuhitimu.

    Kweli kazi mmeifanya kwa kuwa bila nia lolote huwezi kulipata, huku tukiangalia maisha yalivyokuwa na kasi yake (juu ya fedha na majukumu).

    Hongera sana sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...