Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na
viongozi wa Tawi la CCM wilaya ya Kaskazini B alipofika kuweka Jiwe
la Msingi Tawi hilo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akifungua
pazia kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Zingwezingwe wilaya ya
Kaskazini B,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa
wa Kaskazini Unguja leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza
na wanachama wa Tawi la CCM Zingwezingwe baada ya kuweka jiwe la
msingi Tawi la Kijiji hicho,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama
cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi tawi la CCM kwa Gube
Mfenesini ,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya
ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akijenga
moja ya Tofali kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM
Donge,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya
Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,(Kushoto) Makamo wa Pili wa
Rais Balozi Seif Ali Iddi .Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...