Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania , Beatrice Singano akizungumza na wahariri wa habari za michezo (Hawapo pichani) wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namza nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars.
Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Sunday Kayuni akizungumza na wahariri wa habari za michezo (Hawapo pichani) wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namna nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars.
Baadhi ya wahariri wa habari za michezo wakisikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Beatrice Singano wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namza nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...