Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kweli kabisa watu wa mtwara wapo sahihi kama alivyosema Ben. Yani Ben una akili sana yote uliyozungumza kuhusu gas ni kweli tupu. Na ikisafirishwa tu Dar basi watakuwa wameliwa hao watu wa mtwara. Wabunge huko Tz kama mnasikiliza ´hiki kipindi embu fanyieni kazi yalizongumzwa na Ben. Vinginevyo amani ya Tz iko mashakani mana vurugu ndio hizo za mtwara mnaziona. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
ReplyDeletewatu kila siku wanasema Tanzania imekuwa kama majuu, ni dar tu. tanzania nzima inatakiwa kuendelezwa ipendeze kama dar. waachieni watu wa mtwara gas yao na penyewe paendelee. after all Dar mji mdogo sana kuanza kuweka na mitambo ya gas. hali ya hewa tu pale dar ni ya kimavimavi then uongeze na mitambo ya gas
ReplyDeleteMtwara oyeee. Mheshimiwa Mbunge Murji, mbunge wa ukweli ukanda wa umachingani, tupo pamoja hadi kieleweke.
ReplyDeleteUjumbe kwa wabunge wetu: Mdharu mwiba mguu huota tende.
ReplyDeletemimi kwa maoni yangu naona wamtwara wapo sahihi km alivyosema Benja, hivi jamni mkitaka kila kitu kiwe Dar na hiyo mikowa mingine si itakuwa haina ajira...Dar hiyo makontena yamelimbikizana bandarini hamna hata nafasi halafu mnataka gesi nayo iende huko huko dar wakati nyezo za kisasa za kufanyia kazi hapo bandarini dar hamna, kingine hiyo mikoa mingine itawezaje kukuwa kimaendeleo km kila kitu mkitaka kiwekwe Dar, acheni na mikoa mingine nayo ijiwezeshe sio kila kitu mnagàngània Dar tu
ReplyDelete