Home
Unlabelled
???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
A MALE COMPUTER IS LOOKING FOR MATE
ReplyDeleteIs a female toilet
ReplyDeleteJamani kwani lazima uandike tangazo kwa ki-English???
ReplyDeleteAma kweli kuanza sio kufika.
ReplyDeleteHuwezi kuamini kabisa ya kuwa HIYO BROCKEN ENGLISH IMEADIKWA ''SOUTH AFRICA'' a.k.a '''AFRIKA KUSINI'',,,KUNAKO SADIKIWA YA KUWA MKOLONI AMECHELEWA KUONDOKA KWA KUTOA UHURU MWAKA 1994 NA HIVYO WENYEJI WATAKUWA ANGALAU NA KIWANGGO KIZURI CHA UNG'ENG'E !
SASA HUKO KIINGEREZA CHAO NDIO KAMA HICHO, ITAKUWA SISI AKINA MBONDE NA MAGANGA HUKU TANZANIA ?
Huwezi amini:
ReplyDeletePana sehemu Uingereza wanaongea Kingereza brocken kabisa afadhali hicho hapo ''A FEMALE COMPUTER IS NEEDED''.
Jaribu unapokuwa Uingereza fanya ukutane na watu wanaoitwa ''Welsh People' uone, English yao haina tofauti na Lugha ya Kikonongo!
WEWE MDAU HAPA JUU ACHA UJINGA,WELSH PEOPLE WANAONGEA KIWELSH NA ENGLISH NI SAWA ISIPOKUWA NI ISCENT YAO.
ReplyDelete