Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2013

    A MALE COMPUTER IS LOOKING FOR MATE

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2013

    Is a female toilet

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2013

    Jamani kwani lazima uandike tangazo kwa ki-English???

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2013

    Ama kweli kuanza sio kufika.

    Huwezi kuamini kabisa ya kuwa HIYO BROCKEN ENGLISH IMEADIKWA ''SOUTH AFRICA'' a.k.a '''AFRIKA KUSINI'',,,KUNAKO SADIKIWA YA KUWA MKOLONI AMECHELEWA KUONDOKA KWA KUTOA UHURU MWAKA 1994 NA HIVYO WENYEJI WATAKUWA ANGALAU NA KIWANGGO KIZURI CHA UNG'ENG'E !

    SASA HUKO KIINGEREZA CHAO NDIO KAMA HICHO, ITAKUWA SISI AKINA MBONDE NA MAGANGA HUKU TANZANIA ?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2013

    Huwezi amini:

    Pana sehemu Uingereza wanaongea Kingereza brocken kabisa afadhali hicho hapo ''A FEMALE COMPUTER IS NEEDED''.

    Jaribu unapokuwa Uingereza fanya ukutane na watu wanaoitwa ''Welsh People' uone, English yao haina tofauti na Lugha ya Kikonongo!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2013

    WEWE MDAU HAPA JUU ACHA UJINGA,WELSH PEOPLE WANAONGEA KIWELSH NA ENGLISH NI SAWA ISIPOKUWA NI ISCENT YAO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...