Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaki
Okada.kwa pamoja wakifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa
uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji Umeme Zanzibar,katika hafla
iliyofanyika leo Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi
Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaki
Okada.kwa pamoja wakikata utepe kuzindua mradi wa uimarishaji
Miundombinu ya Usambazaji Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika
leo Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali
akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) wakati alipoitembelea
mitambo baada ya kuzindua mradi wa uimarishaji Miundombinu ya
Usambazaji Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Mtoni Kituo
Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim
Seif Sharif,wakifuatana wakati uzinduzi wa mradi wa uimarishaji
Miundombinu ya Usambazaji Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika
leo Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Baadhi ya mafundi na wafanyakazi wa Shirika la Umeme la
Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza katika sherehe za
uzinduzi wa mradi wa uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji Umeme
Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Mtoni Kituo Kikuu cha
Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...