Mhe Naibu Spika Job Ndugai akimkabidhi kitabu chenye Historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Balozi wa Tanzania Ubelgiji na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala. Kulia kwa Naibu Spika ni Mhe Mussa Zungu na kushoto kwa Balozi Kamala ni Mhe Dr. Mary Mwanjelwa. Waheshimiwa Wabunge wapo Brussels Ubelgiji kushirikiana Kikao cha Bunge la Afrika, Karibiani, Pacific na Jumuiya ya Ulaya.
Home
Unlabelled
Naibu Spika Mhe Job Ndugai amkabidhi kitabu chenye Historia ya Bunge la Tanzani Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...