Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi
DK Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania
Yahya Moosa Albakri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo asubuhi kwa
mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Maapinduzi DK Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Oman Nchini
Tanzania Yahya Moosa Albakri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo
asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Maapinduzi DK Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Oman Nchini
Tanzania Yahya Moosa Albakri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo
asubuhi,baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...