Home
Unlabelled
HII IMEKAAJE WADAU??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ubunifu na uvumbuzi
ReplyDeleteDereva na Kondakta wake wanatakiwa waripotiwe Sumatra halafu hata kama Mshahara wao ni Tsh.150,000/= kwa mwezi (Konda) na Dereva Tsh.300,000/= WALIMWE FAINI ZA Tsh.300,000/=(Konda) na Tsh.600,000/=(Dereva) YAANI MARA 2 YA MISHAHARA YAO ILI WAKOME!

ReplyDeleteJESUS IS THE ONLY SAVIOR
ReplyDeleteHuo ni uchafu, nguo hazistahili kuanikwa hapo. Kuna uwezekano hata majukumu mengine nyumbani hayatimizwi na wahusika.
ReplyDeleteHiyo ndio Tanzania bwana, waweza ona kama ni vitu vidogo lakini ni picha tosha ya kujifunza ndani kulikoni?Yaani mgeni akija leo na kuona picha hiyo hatoshangaa kwa mengine yatakayo mjia akiwa huko.Haiingii kuona aliweza kukanyaga kilometa kadhaa akiwa ktk hali hii bila ya kudakwa, haya ndio yaleyale ya picha ya juzi tuliyopewa hapa kama swali la yupi dereva??
ReplyDeletemakonda na madereva wa daladala wanadharau, hawajijali. dawa ni faini na kifungo.
ReplyDelete