hii ndio picha ya kijana wangu mara mwisho alionekana amevaa kaptula nyeusi na shirt yenye mistari ya kijani, bluu na nyekundu. Haongei na ana matatizo ya akili. RB ilitolewa kijitonyama kituo cha polisi, no yake ni KJM\RB\5114\2013. Kwa yeyote atakayemuona apige no. 0713565585, 0713541589, au kituo chochote cha polisi kilicho karibu.
Home
Unlabelled
Kijana huyu Anatafutwa na ndugu zake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...