Mkurugenzi wa Mashitaka Dkt. Eliezer M. Feleshi akitoa nasaha kwenye mkutano wa haki za watoto. kushoto ni wakili wa serikali Veronica Matikila na kulia ni wakili wa kujitegemea Clarence Kipobota.
Mratibu Mwandamizi wa Polisi kutoka dawati la jinsia na watoto Pili Nyamandito akitoa mada iliyogusa uendeshaji wa upelelezi wa kesi za watoto wanaokinzana na sheria kwenye mkutano wa haki za watoto.
Mkurugenzi wa Mashitaka Dkt. Eliezer M. Feleshi(mwenye suti waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa haki za watoto. mkutano umefanyika giraffe hotel, Dar-es-salaam.




+kwenye+picha+ya+pamoja+na+washiriki+wa+mkutano+wa+haki+za+watoto.+mkutano+umefanyika+giraffe+hotel,+Dar-es-salaam..jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...