Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe mkuu wa "Uswazi kiwalani" jifunze kutoa nafasi kwa wadau wengine waongee!
ReplyDeleteUstaadh nawe una points ila mbona leo umetukera " maustaadh" wenzio kwa imani yetu uko uchi kaptula zenye kusitiri magoti mbona ziko nyingi siku hizi? kumbuka nawe kwa kijiwe hiki nawe ni kioo cha jamii.
Mnajitahidi ila pawe na kupokezana kuchangia mada.
Leo mmeongelea topic amabyo kweli ni tatizo kubwa sanakwa Tz. Na pia mmeweza kutoa maoni mawazo mazuri ya nini kifanyike ikiwemo jela na kulima, kwa kweli mmetafuta tija kwa hilo tatizo elimu zitolewe toka shule ya msingi kuhusu madawa ya kulevya. Kuhusu wakubwa kuhusika na hiyo biashara ni challenge mana wa chini kumshtaki mheshimiwa sio rahisi! Kama wabunge au wachungaji wanahusishwa jamani hapo jamii ifanyeje? Mwananchi wa chini kabisa sijui anaokolewa na nani? Polisi nao pia. Tz inakoelekea kwa kweli sijui ni wapi, Mungu aiponye Tz na watu wake.
ReplyDeleteKuna hoja kuhusu " Hii biashara ya michango ya harusi Bongo"
ReplyDeleteJamani michango ya harusi sasa imekuwa kero mno,badala ya kujenga mahusiano ina bomoa.
Ni watanzania wachache sana siku hizi wanachangia harusi kwa kupenda hili zoezi limekuwa kama kulazimishana,na usipo changa walengwa wanakununia.
Hili nalo ni la kujadiliwa.
Ni tatizo. Aliyekuwa amelala kaamka
ReplyDelete