Kaka Michuzi naomba kuweka hili
tangazo ili sisi wahanga wa Meli ya C Ladybug iliyokamatwa Antwerp Port
kutokana na matatizo ya mwenye meli kama ujuavyo hii meli ni kubwa sana na
ilikuwa na vitu vinavyokuja Tanzania vyenye thamani zaidi ya Dollar million
tatu, kitu ambacho kimetusababishia matatizo makubwa sana kutokana na mipango
yetu kuvurugika, kwa hadi sasa kuna kila dalili za kutumia pesa nyingine ili ku
faulisha mzigo na kupakia kwenye meli nyingine kuja Tanzania.
Katika hali ya
kawaida sisi haituhusu kwani tumelipa gharama shipping hadi Dar es salaam Port
na Sio Antwertp. Ukweli ni kwamba TMT Group ambao ni wenye meli ndio wenye
matatizo sisi tunadeal na RORO Line
ambaye ni operator wa hizi ambaye bado anauwezo wa kututafutia meli nyingine
kuendeliea na safari lakini hatoi ushirikiano katika kutatua tatizo hili.
Kama kuna mtu yeyote mwenye mzigo
kwenye meli naomba tuwasiliane ili kuongeza nguvu kwenye hili suala, hizi ni
contact zangu kwa maelezo zaidi.
Tel: +44 7410 792266


.png)
Mbona hueleweki vizuri, tatizo ni nini hasa? Mwenye meli unasema ana tatizo mbona husemi wazi ni lipi? Kibongobongo! Akili ni nywele mana hapo kama kuna utapeli mnalwo. Wenye mizigo wamelipia wawasaidie nini? jamani mambo mengine yanaweza kumpa BP mwenye mizigo ukizingatia thamani ya vitu vilivyomo humo. Mhusika arekebishe tatizo na sio wateja wenu.
ReplyDeletemdau pitia mtandao huu utapata ripoti za kusaidia kidogo
ReplyDeletehttps://www.facebook.com/SchivoCars/posts/444651178945973