Barua toka kwa Mganga mkuu wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyopelewa kwa Uongozi wa Kiwanda hicho.
Mgambo wa Manispaa ya Temeke wakisubiri kufunguliwa kwa Geti la Kiwanda cha nywele cha Darling Hair kilichopo Maeneo ya Pugu Road,jijini Dar.
Sehemu ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho wakiendelea na kazi wakati wengine walikuwa wakitolewa nje kwa kuzidiwa na hewa nzito iliopo ndani ya kiwanda hicho.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda hicho wakiwa wamembeba mwenzao aliekuwa amepoteza fahamu kutokana na kukosa hewa wakati akiwa anaendelea na kazi ndani ya kiwanda hicho.
haya ndiyo matokea ya kutowa vibali vya biashara haraka haraka. Hakuna ukaguzi wa eneo la biashara ou kujuwa usalama wa wafanyakazi.
ReplyDeleteJamani mm nipo ugaibuni niki ganga njaa..lakini jicho langu la 3 lipo huko nyumbani.mm naomba kuuliza hivi mambo ya ajabu kama hayo yanayotokea mchana kweuupe je mnayatolea MAONI kwenye mchakato wa KATIBA MPYA? Au mpompo tu nakuandamana kila kukicha ndugu zangu watz ngojeni nikutoeni usingizini hao wenye viwanda wengi wao ni wadosi na mkaemkijua ya kwamba midosi nimiadui kwetu watu weusi ndio maana wao they don't care watakulundikeni kama kuku kwenye banda ndani ya viwanda vyao wao wanachojari ni pesa tu.sio dada zetu wala kaka zetu.na mambo ya kujitenga kwamba wao upanga tu tuyakatae hiyo nchi ni yetu sio yao wasitupangie waishi sehemu yoyote ile sio kujitenga na wenye nchi.
ReplyDeleteKiwanda hiki cha nywele BANDIA kina athari kubwa sana kwetu.
ReplyDelete1.Kwa kuwaharibu wasichana, dada zetu na akina mama kujenga mtazamo ya kuwa BILA MANYOYA YA FARASI KICHWANI HUWEZI KUWA MREMBO!
2.Njaa mbaya sana, yaani tunakosa kuangalia kazi tunakuja kutumikishwa na Wahindi kwenye KAZI MBAYA KAMA HII sehemu ambayo hata hewa haina, hadi wafanyakazi wanapoteza fahamu!
Mgambo tafadhali msichuke Rushwa hapo.
NI VEMA KIWANDA KIKAFUNGWA !!!
Huyu investor ana hatari sana.
ReplyDeleteHayo ndio matokeo ya kuruhusu uwekezaji uchwara yasiyozingatia usalama wa afya za wafanyikazi...tunaanza kua kama tuko Bangladesh hivi.
ReplyDeleteInvestor wa manywele bandia? investor gani kutuharibia mila na desturi zetu na urembo wetu wa asili. Mbona wasitengeneze wigi za kipilipili wavae wao?
ReplyDeleteNasi Wa Tz tuache kugeza geza muonekano wa Maponjoro na Wazungu. Mungu ni Mwema kutuumba kama tulivyo. Kutunyanyasa kwao enzi hizo za Utumwa, kusiwe nongwa.
tena kunakinfine maeneo ya sinza igesa road, sijui usalama wake ukije, hiki nichawachina.
ReplyDeleteJamani dada huyo alieanguka muwekeni basi recovery position, first aiders wako wapi?
ReplyDeletelabour law inahusika kabisaaaaaa
ReplyDelete
ReplyDeleteNingeshangaa ripoti ya kufungiwa kiwanda itoke kabla ya madhara? havikaguliwi kuanzia ujenzi mpaka kibali kinatolewa pia hakifuatiliwi wakati kikiendelea kufanya kazi mpaka afe mtu. wamekaa maofisini wanasubiria majanga ndio wa - act. Aibu tupu. kwanza likiwanda lenyewe la nini halizalishi hata kitu chenye utu? eneo litatumika vibaya tu na waharibifu wa nchi yetu na watu wetu.
Si mnataka kuonekana waarabu, na wazungu na nyingi muwe na singa mpaka mfanyakazi wa ndani, mshahara wa kwanza ananunua wig. Utumwa si kutumikishwa utumwa ni fikira za watu. Watanzania bado watumwa katika kila nyanja za jamii tunaiga hata kunya chooni kujifuta kwa toilet paper NO WATER AHHHHHH. SIKUI HULE KIJIJINI WANAFANYA NINI.
ReplyDeleteKazi ya shetani hiyo na hayo ndio malipo yake
ReplyDelete