Mzee Maliki Kiongoli Umetimiza mwaka mmoja tangu ulivyo Twaliwiwa nakutuacha na machungu moyoni mwetu Mimi Mkeo Mwanaid Kiongoli na sintasahau tulivyokuwa tunaishi kwa upendo na ulivyokuwa ukitoa ushauri kwa Watoto wetu kuwa na madili mema kupenda masomo pamoja kuwapenda ndugu zao na majirani zetu Unakumbukwa na Said Amir Jafa Doris,Nancy Nuru, Shemeji zako,Majirani zetu Ndugu zako Mkweo Mpendwa Devis Mosha wajukuu zako Edgar, Angel, Daniela

Familia ya Marehemu Mzee Malik Said Kiongoli inapenda Kuwakaribisha ndugu jamaa na Marafiki Katika Misa ya shukurani itakayo fanyika katika Kanisa la Pentekoste Picha ya Ndege ya kumuombea Mpendwa wao Mzee Malik Said Kiongoli Misa itafanyika Saa Tatu asubuhi siku ya Jumali tarehe 9/6/2013 nabada ya misa Mnakaribishwa Nyumbani kwa Maerehemu Pangani Kibaha Bwana AMETOA BWANA AMETWA JINA LAKE LIHIMIDIWE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2013

    Said Malik kufanyiwa misa,Mungu amlaze panapomstahilia. Sisi sote ni waja wake na kwake hakuna shaka yoyote kwamba tutarejea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...