MAREHEMU KATALINA STACHUMA SEMSENA
1945-2000
Imetimia
miaka 13 tangu ututoke ghafla usiku wa tarehe 28 Juni 2000 wakati bado
tulikuwa tunakuhitaji. Ingawaje kimwili umetutoka, kiroho bado
tunakukumbuka.
Unakumbukwa
na mume wako Mzee ATTILIO LUSINDE MWANG’INGO
watoto wako AUDA, Eng. ROMANUS, RITHA, BENJAMIN, DR. GETRUDE, SALOME,
DOROTHY , Eng. LILIAN na wajukuu wako Tawela, Antony, Nora, Adam, Eric,
Catherine na Silvanus, wakwe zako Mh. Msiska(Mbunge), Lorna, Mary, Eng.
Elisante na ndugu wote wa ukoo wa Ng’ingo na Msena..
Tunakukumbuka siku zote kwa upendo wako, mawazo yako yaliyojaa busara, ukarimu na malezi bora.
Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi.
Tunamwomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi
Amina.
HAPO UNAKUMBUKWA NA MUMEO MZEE ATILIO NADHANI UMEKOSEA, NAKUMBUKA MZEE ALISHAFARIKI, AU NI COPY NA KUPEST, JARIBU KUBADILISHA.
ReplyDelete