Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2013

    Ndugu Mheshimiwa Rais wetu,nakupongeza kwa kwa baadhi ya jitihada unazozifanya kwa manufaa ya watanzania wrote.
    Lakini wasiwasi mkubwa nilionao uwekezaji wa kuuza mashamba kwa geni.Ndugu rais swala hili limetokea Ethiopia,Zambia. wananchi wanafukuzwa kama si kwao.kufanya hivyo ni kuuza nchi.ardhi tuna ihitaji kwa vizazi vijavyo ndio maana Baba wataifa hakuuza arid I alijua kuwa tunaihitaji baadae.
    Nakuomba urekebishe swala.
    Jambo jingine ni LA Bandari guru. (Mtwara) kama serikali mnaiweka bandarini chini ya wawekezaji hivi kweli him no harari Bandar zote ulimwenguni ktk nchi zilizoendelea zinamilikiwa name serikali ni kitengo nyeti.Bidhaa zote zinzoingia name kutoka zinpitia Bandari.


    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2013

    I like the way Mr.President you say that "Europe is still Struggling"
    Mdau

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2013

    Ndugu Mheshimiwa Rais wetu nakupongeza kwa jitihada zilizo tufikisha hapa tulipo kwani swala la kukaribisha uwekezaji halikwepeki.Ila ombi langu ni kuwa wataalamu wetu waweke utaifa mbele zaidi.Mfano swala la umeme ni muhimu sana katika maendeleo hasa ukiangalia nchi zilizoendelea hazina matatizo ya umeme hivyo basi kwa kuwa tuna kwa mfano uranium na tunapartiner na nchi hizi zitusaidie kutumia uwezo wa kuzalisha umeme kwa nguvu hizi badala ya mikataba ya wao kuchukua madini haya huku tukionekana hatuna uwezo wa kuyatumia.kwa kuwa wapo mikataba itusaidie kuyatumia kwani watatuimarishia uwezo wa matumizi yake. Asante sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...