Show inaendelea na ni shangwe tupu ndani ya ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Mh. Sugu amemaliza kutoa  burudani muda mfipi uliopita na sasa ni zamu ya TMK Halisi chini yake Kibla Juma Nature.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2013

    Bado naendelea sikiliza old skool! Kilwa Jazz:- Napenda nipate lau nafasi, Tabora Jazz:- Asha, M.Rajab:- Zuwena, Mwanameka, NGINDE:- Barua toka kwa mama, Edita etc.
    These serious stuffs had messages, not these new so called "milegezo",
    I rest my case.
    Mdau Ughaibuni.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2013

    Bado tuko nyuma sana amejitahidi lakini inasikitisha kwa progress very poor indeed. Wapiga picha wanakatiza kwenye stage bila mpango wacheza show wake wana lukaluka jukwaani bila mpango kwa speed zaidi ya mziki na mdundo na red Jay dee kapooza ana sauti nzuri ya kuimba lakini kapooza stagini. Stage yenyewe ndogo kajaza vyombo wanenguaji sasa hata mpangilio hakuna. Kwa ujumla mimi nakupa C- baado hujatulia.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2013

    nilifurahia show ya sister wetu, it was so good kwa kweli

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2013


    yaani show ilikua nzuri ila haikua organised please lady jide it seems hukujiamini kabisaa katika maandalizi yako kwanza VIP walikua wengi kuliko idadi ya viti mimi nilifika na mke wangu natafuta kiti hakuna ikabidi tuondoke ukiita muhudumu hakuna ukienda counter foleni mlangoni foleni yaani total disorganized

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2013



    nimejuta kufika na sirudii tenaaaaa
    watu kibao hadi VIP tunapigana please andaa nyingine weka bei kubwa hata 300k ili tusiwe wengi sanaa na ukumbi uwe sehemu nzuri sio hapo lounge pamejibana sana

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2013

    WEWE MDAU WA KWANZA SIJUI UGHAIBUNI, KUMBUKA WE ARE NOW LIVING IN YEAR 2013 AFTER JESUS.

    HAO KINA TABORA JAZZ, SIJUI KILWA JAZZ, ILIKUWA NI YA MAFALA KAMA NINYI! MUZIKI WA SASA NI MAENDELEO . ELEWA KAMA KILA MSANII WA KISASA ANA ISHI KWAKE KWENYE NYUMBA YAKE YA JASHO LAKE, SIO NYUMBANI KWA MJOMBA AU KWA BINAMU. NAONA KAMA UNAONA GELE WATU KAMA NINYI NDIO MALIMBUKENI AU ULIKWENDA ULAYA UMEZAMIA MELI MWAKA 70?

    HII NDIO BONGO MPYA SASA KAA NA AKILI YAKO YA MSONDO SIJUI DADA ASHA WOTE WANA LALA MITALONI HAPA DAR KAMA HAWAJAFARIKI. KAMA ULIINGIA DANSINI SHS 3 ZA MWAKA 70 HIVI SASA KIINGILIO NI SHS 50,000/= NA HAPO BADO KINYWAJI CHUPA MOJA YA HEINNEKEN NI SHS10,000/= NA MPAKA DANSI LINAKWISHA INA MAANA UMESHALAZA LAKIN MBILI KWA KINYWAJI TU! POLE SANA WEWE AU UNAISHI ULAYA YA VIJIJINI KWA WAFUGA NGURUWE?

    ReplyDelete
  7. mimi naona jana katumia sangoma kuvuta watu haiwezekana watu tumekosa tiketi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2013

    na mimi nasikiliza mapenzi ya pesa, barua toka kwa mama, naomi...raha iliyoje...teh teh teh...

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 16, 2013

    We Mdau ULIYEPAYUKA, mziki ulikuwa zamani, siku hizi hawa wanaojiita wasanii hata kupiga chombo kimoja cha muziki hawawezi, halafu achene upuuzi wenu ninyi wanamlegezo, hunijui name wala sitaki kukujua, mamtoni nimekuja kwa ajili ya ellimu dunia inshallah, mambo yote ni 70s, 80s, na pengine a bit of early 90s. Eti laki mbili kwa kinywaji tu,hivyo ni vijisenti tu , tembea ujionee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...