Unapoingia mji wa Singida ukitotokea Babati unakaribishwa na majabali haya ambayo wajenzi wa barabara wameamua kuyaacha ili kupendezesha mandhari na kutunza mazingira halisi. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2013

    Cha ajabu ni kwamba, tunaachia kampuni moja kichafua hazina hii muhimu kwa nchi na vizazi vijao. Aibu

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJune 22, 2013

      Mwenye pesa anaongea mlala hoi anatembea!

      Delete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...