Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akionesha kadi miongoni mwa kadi za CCM zilizorejeshwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa Ladhu akizungumza na wafuasi wa CUF katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Hamad Massoud Hamad, akizungumza na wafuasi wa CUF katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wafuasi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, katika mkutano uliofanyika Matemwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...