Pichani juu ni maandalizi ya maonyesho ya 37 ya saba saba yatakayoanza hivi karibuni katika viwanja vya Mwalimu nyerere vilivyopo kilwa road jijini Dar es salaam.Maonyesha hayo ya 37 yameelezwa kuwa ni maonyesho makubwa ya kimataifa na ya kipekee kufanyika jijini Dar es salaam ikilinganishwa na maonyesho ya miaka mingine iliopita, kwani maonyesho haya yatashirikisha nchi nyingi zaidi kuliko miaka yote.Imeelezwa kuwa nchi zitakazoshirkia katika maonyesho ya mwaka huu zimeongezeka kutoka nchi 11 zilizoshiriki mwaka jana na kufikia nchi 32 ambazo zitashiriki katika maonyesho hayo mwaka huu.
PICHA ZAIDI BOFYA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...