Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiinua juu na kunyesha Kitabu cha Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, (kushoto) ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.  Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Asha-rose Migiro, baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kushoto kwa Makamu, ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kushoto) ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2013

    tume imefanya kazi nzuri kwa muda mzuri...hongeeni

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2013

    Rasimu ya Katiba ya Tanganyika iko wapi? Au baada ya kupitisha katiba ya shirikisho kutakuwa na vacuum mpaka iundwe Tume Mpya ya Katiba ya Tanganyika?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2013

    Mzee Waryoba na timu yako tunawaaminia kiuhakika.

    Mambo muliyofanya Taifa litawakumbuka.

    ReplyDelete
  4. salamu kwa kila moja, i am Bi juliana bety EFCC katika umoja hali ya Marekani, i wanataka kutumia kati ya kuwajulisha wote wanaotafuta mkopo kuwa makini sana kwa sababu kuna scammers everywhere.I mara kifedha strained, na kutokana na kukata tamaa yangu alikuwa scammed na wakopeshaji kadhaa online. Mimi alikuwa karibu wamepoteza matumaini mpaka rafiki yangu inajulikana mimi Taasisi ya kuaminika sana kuitwa Bibi Susan MUNROE ambao tafadhali niazime mkopo unsecured ya $ 85,000 chini ya 2hours bila stress.If yoyote wewe ni katika haja ya aina yoyote ya mkopo tu kuwasiliana naye sasa kupitia : susanmunroeloanfirm77@hotmail.com, kumshukuru mungu kwa sababu ya huruma yake, kumshukuru Bibi susanmunroe kwa wema wake na msaada yeye atatoa kwa family.i yangu kuomba kwamba mungu ambariki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...