Wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole wakikwea pipa kuelekea Washington, DC kwenye sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili Marekani litakalofanyika July 6, 2013 kuanzia saa 4 asubuhi (10:00 am) na Rais Mustaafu Ali Hassan Mwinyi ndiye atakayekua mgeni wa rasmi. Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kufika Washington, DC siku ya Alhamisi July 4, 2013.
Home
Unlabelled
MASANJA NA SHILOLE WAELEKEA WASHINGTON,DC KWENYE SHEREHE YA MIAKA 3 YA VIJIMAMBO NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Masanja hongera ila mbona wenzioe wa ze comedy hawapo? Au ni individual invitation? mie nikiwaona pamoja nilidhania mnaongozana kila sehemu kwenye maonyesho pamoja. Haya kaonyeshe umahiri wako wa kuchekesha watu.
ReplyDeleteMasanja ni mwanamuziki pia, pengine ameharikwa kuimba..
ReplyDelete