Supa  Modo Flaviana Matata anayefanya shughuli zake jijini New York, Marekani, ametangaza rasmi kwamba yeye ana upara ndio basi tena katika hii exclusive interview aliyofanya na Globu ya Jamii akiwa Uwanja wa Ndege wa wa Kimataifa wa Julius Nyerere Juni 2, 2013. Pichani juu hapo ni siku aliyoshinda kuwa Miss Universe Tanzania mwaka 2008 ambapo katika fainali za dunia alikuwa mongoni mwa Warembo 15 bora na kunyakua nafasi ya sita kwa vazi bora


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2013

    Hongera sana
    Lakini basi, ngojea ujionee mwenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...