Ukumbi wa Highlands Cinema jijini Iringa unalipuka kwa vifijo mara baada ya Miss Redds Iringa 2013 Neema Mality kutangazwa mshindi usiku huu
Miss Redds Iringa 2013 Neema Mality akishukuru mashabiki 
Miss Redds Iringa 2013 Neema Mality akipozi na mshindi wa pili Lucy  George (kushoto), na mshindi wa tatu Lillian Samson baada ya kutwa taji hilo usiku huu. Picha na Francis Godwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2013

    sasa miss Redd's mbona katukalia mapaja nje jamani? ndo mambo ya ma miss sikuhizi hayo? duu! haya Hongera kwa kushinda miss Redd's.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2013

    nimemkubali though, hayo mapaja mhh, yameenda shule...lazima upate cancer ya koo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2013

    she is exposing herself too much....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2013

    Asipoonesha mapaja, urembo wake tutauonea wapi?? Mrembo PAJA bwana

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2013

    Watanzania tutajifunza lini? Kuwa na mwanya is a feature of beauty kwetu lakini huko nje atakokwenda kushindana, mwanya si urembo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2013

    kumekuwa na tendency ya watanzania kuanza kuyakimbia majina yao ya asili; mfano lucy george, francis godwin, irene mark - majina yako funny, sijui watu wanaogopa tusijue kabila zao au wanaficha nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...