Ukumbi wa Highlands Cinema jijini Iringa unalipuka kwa vifijo mara baada ya Miss Redds Iringa 2013 Neema Mality kutangazwa mshindi usiku huu
Miss Redds Iringa 2013 Neema Mality akishukuru mashabiki
Miss Redds Iringa 2013 Neema Mality akipozi na mshindi wa pili Lucy George (kushoto), na mshindi wa tatu Lillian Samson baada ya kutwa taji hilo usiku huu. Picha na Francis Godwin
sasa miss Redd's mbona katukalia mapaja nje jamani? ndo mambo ya ma miss sikuhizi hayo? duu! haya Hongera kwa kushinda miss Redd's.
ReplyDeletenimemkubali though, hayo mapaja mhh, yameenda shule...lazima upate cancer ya koo
ReplyDeleteshe is exposing herself too much....
ReplyDeleteAsipoonesha mapaja, urembo wake tutauonea wapi?? Mrembo PAJA bwana
ReplyDeleteWatanzania tutajifunza lini? Kuwa na mwanya is a feature of beauty kwetu lakini huko nje atakokwenda kushindana, mwanya si urembo.
ReplyDeletekumekuwa na tendency ya watanzania kuanza kuyakimbia majina yao ya asili; mfano lucy george, francis godwin, irene mark - majina yako funny, sijui watu wanaogopa tusijue kabila zao au wanaficha nini?
ReplyDelete