DSC03460Dr. Mary Mwanjelwa mbunge wa Mbeya (viti maalum) mgeni rasmi katika wa mkutano wa Je Nifanyeje ulioandaliwa na VOA kwa ushirikiano na USAID akifungua rasmi mkutano huo wa vijana katika ukumbi wa African Dreamer Dodoma Jumatano. DSC03455Katika meza kuu kutoka kushoto ni Mariam Salum Msahaba (Zanzbar), Josephine Johnson Genzabuke (Kigoma),Ritta Motto Kabati (Iringa), Faida Mohamed Bakari (Kusini Pemba) IMG_2784Washiriki wa "Town Hall meeting". IMG_2770Washiriki wakifuatilia mkutano. IMG_2777Washiriki wakiwa na mgeni rasmi. IMG_2788Mshiriki Sebastian ambaye ni mwanafunzi wa CBE akitoa pointi. IMG_2776Washiriki wa mkutano huo kushoto Panelist Dr.Ilyu Mohamed na Advocate Jp mshauri wa EABTM. IMG_2778 Kutoka kushoto Mariam Salum Msahaba (Zanzbar),Faida Mohamed Bakari (Kusini Pemba),Dr. Mary Mwanjelwa Mbeya, Rose Mwakitwange,Ritta Motto Kabati (Iringa) na Rais wa wanafunzi wa CBE Dodoma. Nikitoa saini kwa washiriki wa semina. IMG_2805Timu ya Je Nifanyeje Tanzania kutoka kushoto Adeodatus Kakorozya, Mwanaharusi Pongwa na Mensiah . IMG_2790Washiriki wa mkutano wakiwa kwenye majadiliano. IMG_2799Wasaa wa kung'aa na baadhi ya washiriki wa mkutano wanafunzi wa CBE Dodoma. Kwa picha zaidi bofya
IMG_2798 IMG_2816

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2013

    kwa picha hizi, natafuta daktari macho.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2013

    Picha zina quality mbaya sana what happened? can you do something!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...