Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akihutubia katika mkutano wa wadau wa kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Biama ya Afya uliofunguliwa leo mjini Kibaha,mkoani Pwani.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk. Mohammed Hashim (kulia)
akimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mh. Mwantumu Mahiza baada ya
kufungua mkutano wa wadau wa mkoa huo wa kujadili uhamasishaji wananchi
kujiunga na mfuko huo, leo mjini Kibaha. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa
NHIF, Emmanuel Humba.
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba akielezea mikakati mbalimbali ya kuboresha mfuko huo nchini,wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Biama ya Afya uliofunguliwa leo mjini Kibaha,mkoani Pwani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...