Pata majibu na maelezo ya maswali yafuatayo na matibabu ya njia rahisi kutoka blog ya Afya Njema; Mafanikio Na Utajiri (www.mtsimbe.blogspot.com)

·       Je Una Maumivi Ya Gouts (Viungo)?
·       Je Una Maumivu Ya Uti Wa Mgongo?
·       Je Una Tatizo la Kisukari?
·       Je Una Upara?
·       Je Ungependa Kuondoa Mabaka Mabaka Kwenye Ngozi?
·       Je, Nywele Zako Zinanyonyoka?
·       Je Una Fibroids Au Uvimbe Katika Kizazi?
·       Je Una Matatizo Ya Kushika Mimba?
·       Je Una Matatizo Na Siku Za Hedhi Au Maumivu?
·       Jinsi Ya Kupunguza Unene
·       Jinsi Ya Kuzuia Kumaliza Mapema
·       Je Jogoo Wako Hapandi Mtungi?
·       Je, Unapoteza Kumbukumbu?
·       Je, Ungependa Kuondoa Michirizi Katika Ngozi?
·       Jinsi Ya Kufanya Meno Yawe Meupe
·       Jinsi Ya Kuondoa Makunyanzi Ya Ngozi
·       Jinsi Ya Kufanya Matiti Yasimame (Yasilale)
·       Jinsi Ya Kuondoa Nywele Usoni
·       Je, Ungependa Kuwa Na Matiti Makubwa?
·       Je Macho Yako Hayaoni Vizuri?
·       Je, Una High Blood Pressure?
·       Je Una Allergies Na Kitu Chochote?
·       Jinsi Ya Kuondoa Vipele Vya Kunyoa Ndevu
·       Jinsi Ya Kuondoa Chunusi Usoni
·       Je Wewe Unakoroma Usiku Na Ungependa Uache?

Kwa maoni tuandikie: mtsimbe@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2013

    hizi blog zinazoibuka kama unyoga jamani wamiliki jichungeni sana,kama hii blog tunayotangaziwa hapo juu,mbona picha na idea zake niza kukopi na kupesti?
    picha za kwenye blog yenyewe zinaonyesha wazungu ndio wenye matatizo hayo,

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2013

    nikweli mdau mwenzangu nakuunga na akili zangu zote na nakupa kumi hizi idea za kuunga na kukopi na kupesti waafrica hatuna matatizo haya na kama tunayo si sana lakini wazungu wana wivu ndo wanataka tuwe navyoo na kutu control akili zetu ndo maana kila leo tunawafuata wao kwa kila kitu tukitaka tusitake tukipenda tusipende bado tuna hatua ndefu sana ya kuwa na tanzania wenye kufikiri kwa kina kwa hivi saa nasikitika sana kusema bado na bado na tutayaona mengi tu mwaka huu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2013

    Nakubaliana na tiba lakini vingine si ugonjwa bali ni hali ya kimaumbile kwa hiyo kujaribu kutafuta tiba ya hiyo mabadiliko ya kimaumbile sana sana kulingana na umri au urithi wa vinasaba ni kujitafutia matatizo makubwa mbele ya safari.
    Tafakari kabla ya kuchukua uamuzi
    Chunga sana

    ReplyDelete
  4. blogger yako ipo powa sema kimombo kwa watu wengine ni tabu ndugu yangu cunajua wengi ni wa swahili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...