Wakazi wa Mkungugu tarafa ya  Isimani  wilaya ya  Iringa vijijini  wakipita  jirani na mnala  wa aliyekuwa mkuu  wa mkoa  wa Iringa marehemu Dkt.  Wilbert Kleruu  aliyeuwawa kwa  kupigwa  risasi na marehemu Saidi Mwamwindi  ambayeb aliyehukumiwa  kunyongwaPicha na Francis 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2013

    Hizo ndizo sera za ujamaa na kujitegemea.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2013

    mamwindi alimpiga risasi huyo mkuu wa mkoa baada ya kuwa kibaraka wa nyerere eti alimfata mamwindi shambani kwake na kumuambia kwanini unalima hujui leo ni siku ya nyerere

    yani zamani ukisikia nyerere hata anapita kata fulani basi kila mtu aache kazi zake akajipange barabarani

    mzee mwamwindi akamjibu huyo mkuu wa mkoa kuwa sawa kama unaona nimekosea basi nisubiri niweke jembe langu ndani unipeleke huko polisi

    alipotoka ndani alitoka na bunduki yake na kumchapa risasi huyo mkuu wa mkoa na kuamua kuchukua mwili wake na kuupakia kwenye gari alilokujanalo na kumfikisha kituoni alipofika alikuta polisi nje ya kituo akawaambia nimemleta mtu wenu yupo nyuma ya gari mchukueni

    kwa kweli zamani kulikuwa na maonevu ya hali ya juu yani mtu huna uhuru wa kujitafutia chakula ikiwa siku hiyo ni siku nyerere anapita mkoani kwenu

    haya ndio yanayotufanya tunataka kuwepo na serikali mpya maana tumechoka na serikali ya kina nyerere na michuzi

    michuzi haya ni maoni yangu ya 22 kwa wiki hii unayatia kapuni kwajili ya kuisema ccm au kukosoa jambo serikalini
    endelea kubana na globu yako na chama chako.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2013

    Hao ng'ombe wanasemaje? Kipanya, tupe ujumbe.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2013

    Kama una uhakika kuwa Michuzi anabana naoni yako kwenya blog hii na CCM yake kwa nini na wewe usitafute blog yako na chama chako ukaandika maoni yako? Kwa maana nyingine kwa nini usiachane nae?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...