Wakazi wa Mkungugu tarafa ya Isimani wilaya ya Iringa vijijini wakipita jirani na mnala wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa marehemu Dkt. Wilbert Kleruu aliyeuwawa kwa kupigwa risasi na marehemu Saidi Mwamwindi ambayeb aliyehukumiwa kunyongwa. Picha na Francis
Home
Unlabelled
mnara wa kumbukumbu ya marehemu Dkt Wilbert Kleruu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hizo ndizo sera za ujamaa na kujitegemea.
ReplyDeletemamwindi alimpiga risasi huyo mkuu wa mkoa baada ya kuwa kibaraka wa nyerere eti alimfata mamwindi shambani kwake na kumuambia kwanini unalima hujui leo ni siku ya nyerere
ReplyDeleteyani zamani ukisikia nyerere hata anapita kata fulani basi kila mtu aache kazi zake akajipange barabarani
mzee mwamwindi akamjibu huyo mkuu wa mkoa kuwa sawa kama unaona nimekosea basi nisubiri niweke jembe langu ndani unipeleke huko polisi
alipotoka ndani alitoka na bunduki yake na kumchapa risasi huyo mkuu wa mkoa na kuamua kuchukua mwili wake na kuupakia kwenye gari alilokujanalo na kumfikisha kituoni alipofika alikuta polisi nje ya kituo akawaambia nimemleta mtu wenu yupo nyuma ya gari mchukueni
kwa kweli zamani kulikuwa na maonevu ya hali ya juu yani mtu huna uhuru wa kujitafutia chakula ikiwa siku hiyo ni siku nyerere anapita mkoani kwenu
haya ndio yanayotufanya tunataka kuwepo na serikali mpya maana tumechoka na serikali ya kina nyerere na michuzi
michuzi haya ni maoni yangu ya 22 kwa wiki hii unayatia kapuni kwajili ya kuisema ccm au kukosoa jambo serikalini
endelea kubana na globu yako na chama chako.
Hao ng'ombe wanasemaje? Kipanya, tupe ujumbe.
ReplyDeleteKama una uhakika kuwa Michuzi anabana naoni yako kwenya blog hii na CCM yake kwa nini na wewe usitafute blog yako na chama chako ukaandika maoni yako? Kwa maana nyingine kwa nini usiachane nae?
ReplyDelete