Kwa masikitiko makubwa natoa taarifa ya kifo cha ndugu yetu mpendwa JEROME DAVID MPEFO (pichani), kilichotokea Jumatano majira ya saa mbili usiku katika hospitali ya MD Underson alipokuwa amelazwa.
Taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Mawasiliano ya msiba huu ni wanajumuiya hawa wafuatao;
1]Emmanuel Katili-281 794 0806
2]Peter Mpefo-832 366 3303
Msiba upo katika anuani ifuatayo;
12511 TRACELYNN LANE
HOUSTON TX 77066
Tunaombwa WANAJUMUIA tutakuwa na kikao cha dharura saa mbili usiku alhamisi,june13 nyumbani kwa marehemu katika anuani hiyo hapo juu.
Wenu katika jumuia,
Juma Maswanya.
281-989 3724.
Tunaomba kwa Mola Mtukufu apate kumpokea na Kuilaza Roho ya marehemu mahala pema peponi. Pia Tunamuomba Mungu awape moyo wa uvumilivu ndugu, jamaa, na marafiki wa Marehemu. Tunaomba alete wepesi wa msiba kwa Mke na Watoto pia.
ReplyDeleteAmin
HP
Poleni sana na msiba wa Jerome.Jerome mungu akupumzishe .msiba upo wapi hapo bongo ?
ReplyDeleteJerome goodbye .You was such a nice men .umesaidia Watu wengi sana Houston .Ila kazi Yako umekwisha hapa duniani .Upendo wako kujitolea Kwako utakumbukwa milele .Pole sana Clara na watoto wawili wa marehemu .ulikuwa ndio ngai na tegemeo kwa familia ,upumzike mbinguni Kwenye nyumba ya Amani na milele
ReplyDeleteNi ngumu kuamini mtu mwenye Upendo na unyenyekevu anapotutoka.Jerome no pain anymore your with God .May your soul rest in peace .Jerome umemwacha mama ako alikuwa anakutegemea mnoo ,watoto wako,mke wako .Maisha Yako yalikuwa yaharakaharaka Kama mungu alijua utaondoka .Good bye Jerome and thank you for everything you have done to people .You will be missed
ReplyDeleteTo a brother in my heart...I never had a chance to thank you for all you did for me...It might be a little too late dear brother but I will thank you still,"THANK YOU from the bottom of my heart Kaka Jerome!" for your life short lived, for the friendship, for making a way when I was a little unfortunate, for the rides to work (amazing), and so much more...Thank You! To the family; Be strong our dear ones, may the peace of our Almighty God be with you all! God speed!
ReplyDeleteRIP kaka Jerome
ReplyDeleteJerome kaka ulibarikiwa Upendo nasema ahsante kwa kila Kitu .Ulivyokuwa unasaidia Watu mungu akupumzishe GONE TOO SOON bro
ReplyDeleteWhen a good person dies
ReplyDeletepoleni sana wanafamilia.rest in peace.nini kimempata mpendwa wetu Joreme?
ReplyDeleteKidney cancer .It was very sad pale unapojua he had only 2 months to live .alikuwa Mtu Mzuri mnoooooo
ReplyDeleteIt was liver not kidney
ReplyDeletepoleni sana Bwanaalitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe ,RIP
ReplyDeleteSifaka zote hizi ni za marehemu kweli alikuwa Mtu Mzuri .bwana akupumzishe amen
ReplyDeleteYaani kulia siwezi kuongea tabu nimepigwa na butwaa.Mungu Jamani Jerome alikuwa Mtu wa Watu mpole alimsaidia kila binadamu .God bless Jerome's soul
ReplyDeleteJerome upendo wako ulikuwa wa ajabu, umemsaidia kila mtu houston. Haukuchoka kutoa msaada kweli kile kizuri huwa hakidumu kamwe. Jerome ulikuwa tegemeo kwa wazazi wako mke wako na watoto wako wapendwa. Pengo lako halitazibika kamwe. Kweli kazi yake mwenyezi mungu haina makosa. Clara mungu akujalie ujasiri, I believe jerome will be with you na atawalinda. Inaumiza sana kuona baba anaacha wtt miaka 6 na 3 they don't even know what death is...mungu we will never ask why maana kazi yako haina makosa. Umpokee eeh bwana na apumzike na kukaa katika ufalme wako akiimba na kufurahi na malaika mbinguni. Pole sana clara.
ReplyDeleteRIP brother.
ReplyDeleteI miss u uncle Jerome rest in peace uncle .i'll love u even if i never met u
ReplyDeleteYours truley,ur neice
Fatma salim
Pole fatma,wish u could meet him! But he did meet u when u were still young and faris too
DeleteJerome sisi tulikupenda ila baba wa Mbinguni amekupenda zaidi. Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi, my dear Clara Mungu akutie nguvu hasa katika kipindi hiki kigumu. Mungu akuongezee ujasiri na neema uwalee watoto kwa baraka zake yeye Muumba.Binadamu hapa duniani tunapita tu kwetu sisi sote ni Mbinguni. Thedy
ReplyDeleteJerome Muda wako duniani ulikuwa mfupi ila mungu anajua nini .mama ako itakuwaje? Watoto wako ila mungu ni mkubwa .Jerome you will be missed Jamani jiko la Houston gizaaa.We loved you but God loved you more ,roho inaniumaje Jamani
ReplyDeleteAlikuwa so nice jamani Dah tumebakia mdomo wazi
ReplyDelete