Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamisi (katikati) akiwa na mwenyekiti wa UVCCM kilimanjaro, Fredrick Mushi (kulia) na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Aluu Segamba katika Hafla ya kutunuku Vyeti kwa wanachama wa UVCCM vyuo vikuu Kilimanjaro.

===================




MWENYEKITI wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Taifa (UVCCM), Sadifa Juma Hamisi, amepinga vikali kuwepo kwa mfumo wa serikali tatu kama inavyopendekeza rasimu ya katiba.

Sadifa ameyasema hayo wakati akizungumza na wanachama wasomi wa UVCCM kutoka katika vyuo vikuu mkoani kilimanjaro katika hafla ya kuwaaga wasomi hao na ambapo pia ametunuku vyeti vya uanachama kwa wanafunzi 312 pamoja na kuwakabidhi kadi za uanachama wanachama wapya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2013

    Huyu mwenyekiti wa UVCCM anatakiwa kusoma alama za nyakati,hakunaga duniani muungano wa mbili kuzaa mbili inakuwa mbili kuzaa moja lah moja kubwa na mbili shirikishi.Nadhani arudishwe darasani akasome alama za nyakati!hii rasimu ya katiba iko vizuri sana nadhani hapa ndo tutaanza kuona mbivu na mbichi!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2013

    HAWA WATU WENGINE WANASIASA WENGINE WAMESHACHANGANYIKIWA KWANI KATIBA YA CCM AU KATIBA NI YA WATANZANIA WOTE....HAWA WANASIASA WENGINE HAWAKO KWA MASLAHI YA WATU, WAKO KWA AJILI YA MATUMBO YAO

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2013

    Kwa mtazamo wangu ni kwamba mwalimu nyerere na karume were right kwa muungano jinsi ulivyo but that was then yaani they were right enzi zile. Now is different time na generation ya sasa hivi inahitaji right muungano at this time, the modern era of our generation
    So ccm someni alama za nyakati is about the time kwenda na wakati na si brabrah ambazo doesn't make any sense kwetu sisi wadanganyika
    Time is running out, Lego to the right thing for our generation
    Mdau Washington dc

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2013

    hao ndio wanaopigania maslahi ya matumbo yao wala hawajali taifa linapoelekea hawajui mambo kama haya kuyapinga yanaweza kutuharibia amani tuliojengewa na mwalimu nyerere labda anataka kubanduliwa bigijii kwenye tundu la sikio a.k.a tigo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...