MWENYEKITI wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Taifa (UVCCM), Sadifa Juma Hamisi, amepinga vikali kuwepo kwa mfumo wa serikali tatu kama inavyopendekeza rasimu ya katiba.
Sadifa ameyasema hayo wakati akizungumza na
wanachama wasomi wa UVCCM kutoka katika vyuo vikuu mkoani kilimanjaro katika
hafla ya kuwaaga wasomi hao na ambapo pia ametunuku vyeti vya uanachama kwa wanafunzi
312 pamoja na kuwakabidhi kadi za uanachama wanachama wapya.


Huyu mwenyekiti wa UVCCM anatakiwa kusoma alama za nyakati,hakunaga duniani muungano wa mbili kuzaa mbili inakuwa mbili kuzaa moja lah moja kubwa na mbili shirikishi.Nadhani arudishwe darasani akasome alama za nyakati!hii rasimu ya katiba iko vizuri sana nadhani hapa ndo tutaanza kuona mbivu na mbichi!
ReplyDeleteHAWA WATU WENGINE WANASIASA WENGINE WAMESHACHANGANYIKIWA KWANI KATIBA YA CCM AU KATIBA NI YA WATANZANIA WOTE....HAWA WANASIASA WENGINE HAWAKO KWA MASLAHI YA WATU, WAKO KWA AJILI YA MATUMBO YAO
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu ni kwamba mwalimu nyerere na karume were right kwa muungano jinsi ulivyo but that was then yaani they were right enzi zile. Now is different time na generation ya sasa hivi inahitaji right muungano at this time, the modern era of our generation
ReplyDeleteSo ccm someni alama za nyakati is about the time kwenda na wakati na si brabrah ambazo doesn't make any sense kwetu sisi wadanganyika
Time is running out, Lego to the right thing for our generation
Mdau Washington dc
hao ndio wanaopigania maslahi ya matumbo yao wala hawajali taifa linapoelekea hawajui mambo kama haya kuyapinga yanaweza kutuharibia amani tuliojengewa na mwalimu nyerere labda anataka kubanduliwa bigijii kwenye tundu la sikio a.k.a tigo
ReplyDelete