Kamera ya Globu ya Jamii ilifanikiwa kupata taswira hii ya afande aliekuwa akirekodi spidi za magari yaliyokuwa yakipita katika barabara kuu ya Dodoma - Morogoro kwa kutumia kifaa maalum,hii ni katika kuhakikisha Sheria na taratibu za usalama barabarani zinafuatwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2013

    kizamaaaani mambo hayo yamepitwa na wakati mambo ya kutega njiani sikuhizi kuna vitu vya kurekodi masaa 24 sio siku hadi siku wanapojisikia kuvizia rushwa ndio wanaenda huko kazini kukamua maziwa maana ukipatikana na kosa hapo ni kutoa kitu kidogo na safari inaendelea mwendo mdundo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2013

    Anatafuta pesa akamalizie nyumba yake mzee wa kazi..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2013

    Siku zote rada yao huganda kwenye spidi sitini

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2013

    Hapana hayapitwa na wakati. Si tu kwamba ni muhimu, pia yanasaidia kunenepesha mifuko yetu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2013

    Dress code ndani ya jeshi polisi imeenda likizo? Wapi kofia?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2013

    Huo mkao wa afende mie hoi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...