Nyumba iko Bunju karibu na shule ya Moga, Dar es salaam.
Nyumba hii tayari ina title deed 
Mawasiliano:0659 683771 au 0655227507 
email add:misasophie@yahoo.com



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2013

    weka saizi ya ukubwa wa eneo kama litanifaa naweza kununua nikavunja hiyo nyumba nahitaji kiwanja nijenge nyumba ya kweli

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2013

    Ni high density kiwanja.

    ReplyDelete
  3. zamsquqredJune 24, 2013

    mmh sehemu ni nzuri changarawe sasa ndio kazi (fedha)

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2013

    hakuna changarawe ni mchanga mtupu,hata nyumba imejengewa kwa mchanga wa hapo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 24, 2013

    Kiasi gani?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 24, 2013

    Bei ikoje? Muhimu kujua bei yake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...