Ofisa kutoka kitengo cha Mawasiliano na
Mahusiano wa Barrick Gold Mining Fatuma Mssumi akimkabidhi Kaimu Ofisa Tawala
wa Mkoa wa Mara mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 10, ikiwa ni
sehemu ya udhamini wa kampuni hiyo kwenye mashindano la Redd's Miss Mara
yatakayofanyika leo mjini Musoma.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss
Mara 2013 wakiwa katika picha ya pamoja jana ikiwa ni siku moja kabla ya
warembo hao hawajapanda jukwaani kuwania taji hilo ambalo linashikiliwa na Miss
Tanzania namba mbili 2012. Shindano hilo linataraji kufanyika leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...