Mabalozi wa Afrika Uholanzi Wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Afrika wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uholanzi akiwaeleza jinsi Serikali ya Uholanzi inavyosaidia Wafugaji wa Ng'ombe wa Maziwa. Mwenye tai ya rangi ya taifa ni Balozi wa Tanzania Uholanzi, Ubelgiji, Luxemborg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala.
Home
Unlabelled
MABALOZI WA AFRIKA NCHINI UHOLANZI KATIKA ZIARA YA MAFUNZO UHOLANZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Haya sasa, mambo mazuri kama hayo badala ya kucopy na kuyaleta nchini kwenu mtaishia kushangaa tu na kurudi kama mlivyokwenda. Sijui nani ametuloga.
ReplyDeleteBalozi huna tai nyingineeee
ReplyDelete