FAMILIA YA MAREHEMU JUMANNE NYANGASA WA DAR ES SALAAM, WANASIKITIKA KUONDOKEWA NA MAMA YAO MPENZI BI MAAJABU KHATIBU ABDALLAH MGANGA (83) (MAMI FATUMA), ALIYEFARIKI TAREHE 6/6/2013 SAA SABA MCHANA NYUMBANI MANZESE, MWILI UMEHIFADHIWA MWANANYAMALA HOSPITAL.
SHUGHULI ZOTE ZITAFANYIKA MANZESE TUNATEGEMEA KUUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU TAREHE 7/06/2013 SAA 10 KUELEKEA KIJIJINI MASIMBANI MUHEZA TANGA KWA AJILI YA MAZISHI YATAKAYOFANYIKA JMOSI, 8/06/2013.
“INNALILAHI WAINA ILAIHII RA’JUUN”
POENI WAFIWA.
ReplyDeleteR.I.P Bibi.
Duuh familia ya Marehemu Mzee Nuangasa poleni sana kwa kuondokewa na Bibi Mame Fatuma.
ReplyDeleteTuko pamoja kwenye hiki kipindi kigumu cha msiba. Mungu awape Subira na uvumilivu.
Mimi ni jirani yenu hapa kijiji cha Kisiwani (mkabala na Masimbani).
Swali....hivi bi Fatma Almas Nyangasa ana uhusiano wa huu msiba? au hili jina la Mama Fatuma ndio Fatma huyu...mtangazaji mahiri wa ITV?.
Bin Maslahi, Kisiwani. Muheza.