Home
Unlabelled
Taarifa za uwepo wa taasisi ya kifedha kwa ajili ya mikopo iliyoandaliwa na Serikali si za kweli,ogopa matapeli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ipo kazi!
ReplyDelete1.DECI,
2.UPATU,
3.JAKAYA FOUNDATION,
4.SAVINGS FOUNDATION LOANS,
5.MFUMAKI.
Tanzania imekuwa ni shamba la bibi kwa kila kinachojiri kinakuwa ni cha KUWATO DAMU WANANCHI tena wavuja majasho na Makabwela.
Mara zote wanaonasa wanakuwa ni walala hoi, hivyo kasi ya Umasikini itazidi badala ya kupungua kama tusipo simamia mambo ya Kiholela ktk masuala ya Fedha.
Hivi kwa nini kusiwekwe Msimao wa masuala ya yote Kifedha nchini yapewe Taasisi za Kifedha zilizo sajiliwa kama MABENKI?
WWW = Wajinga Wali Wao.Ni kawaida wanyonge huumia sababu ya unyonge wao, wenye pesa hata haki huweza inunua. Inasikitisha!
ReplyDeleteWasakeni na muwakomeshe. Kwani walalahoi ni shamba la bibi? Je serikali inashindwa kutulinda sisi raia wake dhidi ya hawa matapeli?
ReplyDelete