Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na wanafunzi wa wa CBE pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013 yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders jiji ni Dar es Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni .Kulia ni Katibu wa Chama cha Pool Tanzania(TAPA), Amos Kafwinga.
Wanafunzi wa Chuo cha CBE wakicheza muziki wakati wa hafla ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013 yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders jiji ni Dar es Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni.
Wanafunzi wa Chuo cha CBE wakipata kinywaji wakati wa hafla ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013 yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders jiji ni Dar es Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni.
Wanafunzi wa Chuo cha CBE wakichukua chakula kinywaji wakati wa hafla ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013 yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders jiji ni Dar es Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2013

    Kitaaluma napo Mpo vipi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2013

    Dah..mdau uliyepiga hii picha TAFADHALI SANA naomba jina na mawasiliano y huyu dada wa kwanza hapa..huyu anayekuangalia ukimpiga picha...Ukimpata nijulishe hapa tafadhali..kisha nitakupa contacts zangu.MUHIMU SANA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2013

    Hivi sisi ndo tushazeeka au watato was siku hizi wanaenda shule wadogo, tunaonekana tudogo tudogo tu, na yule mwingine amevaa fulana yenye swastika,pengine hajuai hata maana yake ni nini, wayahudi watakutafuna mziam mzima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...