Home
Unlabelled
TUOMBE MUNGU HAYA YASITOKEE KESHO KATI YA TAIFA STARS NA IVORY COAST...INSHAALLAH!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Timu yetu huwa inakabiliwa na woga hasa inapocheza ugenini,ukiangalia chanzo cha goli la kwanza utapata jibu ni mcheche tu hakuna kengine.Goli la pili nalo daaaa mtu anaachwa peke yake.Japo kule Morocco hali haikua kama hii lakini kuna udhaifu kidogo ulijitokeza ktk kipindi cha kwanza.Mungu tusaidie tushinde ili nasi tuitangaze nchi kwa mema.
ReplyDeleteKabisa timu ilikubali magoli laini mno inasikitisha.
ReplyDeleteAma kweli mpira wa miguu ni mchezo wa makosa. Mungu atusaidie kila la kheri stars!
ReplyDeletesesophy
Mechi itaonyeshwa online na website yoyote?
ReplyDelete