Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2013

    Timu yetu huwa inakabiliwa na woga hasa inapocheza ugenini,ukiangalia chanzo cha goli la kwanza utapata jibu ni mcheche tu hakuna kengine.Goli la pili nalo daaaa mtu anaachwa peke yake.Japo kule Morocco hali haikua kama hii lakini kuna udhaifu kidogo ulijitokeza ktk kipindi cha kwanza.Mungu tusaidie tushinde ili nasi tuitangaze nchi kwa mema.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2013

    Kabisa timu ilikubali magoli laini mno inasikitisha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2013

    Ama kweli mpira wa miguu ni mchezo wa makosa. Mungu atusaidie kila la kheri stars!

    sesophy

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2013

    Mechi itaonyeshwa online na website yoyote?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...