Rais Yoweri Museveni wa Uganda akiwa katika picha ya pamoja na wabunge kutoka Tanzania pamoja na Wabunge wanaoiwakilisha Tanzania Katika Bunge la Africa ya Mashariki baada ya kufunga mkutano wa Nanyuki VII Nchini Uganda.
Waheshimiwa Wabunge wa kutoka Zanzibar walioshiriki mkutano wa Nanyuki VII wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Uganda, Rais Yoweri Kaguta Musevini akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Africa ya Mashriki (EALA) Mhe Abdullah Mwinyi, katika Jiji la Entebbe.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...