Ujenzi wa Barabara ya Mbeya kuelekea Chunya , hili ni eneo Maarufu kona ya Mkoa |
Barabara ya kiwango cha Rami kutoka Mbeya kuelekea Chunya eneo la Chalangwa
Moja ya Gari likitoka Mbeya kuelekea Chunya
Ujenzi ukiendelea kwa kasi katika eneo hilo.
Mmoja wa wadau akiwa katika eneo ambalo Barabara hiyo inatengenezwa.
Picha na Mbeya Yetu
Kaka sasa hiyo Landkruza halafu wakipata ajali watalalamika?
ReplyDeleteHuo mzigo wote alioupandisha huko juu hajui kama anadistab SENTA OF GRAVIT au IKWILIBRIAM SENTA hivyo ni rahisi kuyumba na kupinduka jamani.
Wenzetu hama wanatengeneza hivyo vyombo kwa mahesabu jamani. Kila kitu hapo kilipo kinakuwa kimepigiwa mahesabu yake jamani. Mweeh!