kushoto Bw Sheha Mjaja Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Zanzibar, na Kulia ni Bw. Emmauel Tutuba kutoka wizara ya fedha, wakifuatilia jambo katika mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Bonn Ujerumani.picha na Evelyn Mkokoi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2013

    Je wakirudi TZ wanalakutueleza?
    maana kwa uzofu semina hizi wala hazina tija kwa wananchi,wana chorudi nacho ni kauli kama "Wenzetu bwana" + blah blah nyingi.

    Tubadilike.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2013

    Je wakirudi TZ wanalakutueleza?
    maana kwa uzofu semina hizi wala hazina tija kwa wananchi,wana chorudi nacho ni kauli kama "Wenzetu bwana" + blah blah nyingi.

    Tubadilike.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...