Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TPSF) Bw. Godfrey Simbeye akisisitiza jambo wakati wa mkutano Mkuu Maalumu wa wanachama jana jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulipitisha mapendekezo ya rasimu mpya ya katiba ya taasisi hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TPSF) Bw. Godfrey Simbeye (kushoto) akiwa na mmoja wa wajumbe wa bodi ya taasisi hiyo, Bw. Salum Shamte muda mfupi mara baada ya kutoka katika mkutano Mkuu Maalumu wa wanachama jana jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulipitisha mapendekezo ya rasimu mpya ya katiba ya taasisi hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...