Watoto wanaojihusisha na Biashara mbali mbali katika Barabara kuu itokayo Chalinze - Segera mkoani Tanga,wakikimbilia moja ya Gari ambalo lilikuwa nimesimama ili kuweza kuuza bidhaa zao kwa abiria waliopo kwenye Gari hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2013

    Uwe Kijijini, uwepo Mjini popote kula kwa Tindo!

    Mnafikiri mkiwa Vijijini ndio mle kiulaini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2013

    hakika kutafuta riziki ya halali ni ngumu nchini kwetu , na kuna wengi sio hawa tu ambao tunahangaika na maisha ya utafutaji riziki kama kina mama ntilie na wengineo ambao vipato vyao ni vya kumudu mahitaji muhimu ya siku ile , hawana akiba , akiamka mbio zile zile.
    Serikali yetu haina mpango wowote kuwasaidia watu kama hawa na badala yake hufikiria kuwatoza kodi kama vile wanapata maelfu kwa siku , na kuwaongezea ukali wa maisha. Ukoloni tulikuwa na kodi moja tu ya kichwa mkapiga kelele wakoloni weee wakoloniiii ,,,, lakini leo kuna kodi ya kila kitu mbona hatusemi? Serikali yetu imejaa dhuluma kila sekta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...