Warembo wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es Salaam
Mpigapicha Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Staa Poti, Jambo Brand Tanzania na Dar Metro, Richard Mwaikenda akiwapatia warembo hao elimu ya picha za habari.
Warembo wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakizungumza na Mwandishi wa Habari wa gazeti dada la Staa Spoti, Zahoro Mlanzi walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es Salaam
Mwandishi wa habari za michezo, Asmah Mokiwa akizungumza na warembo hao
Mhariri wa gazeti la Jambo Leo Jumapili, Said Mwishehe (kulia), akiwapa somo warembo hao
Warembo wakiangalia jinsi msanifu kurasa akiandaa gazeti.
NYWELE NYWELE JAMANI WADADA WA AFRICA. NANI KASEMA UZURI WETU MPAKA TUWEKE NYWELE ZA BANDIA. NO CONFIDENCE WITH OUR OWN SKIN..DEAR OH DEAR. INABD SASA HAWA WANAOTAFUTA WASHINDI WA MAMISS WAWE WANAANGALIA KAMA HAO MAMISS WANAKUWA WAZURI HATA WAKIACHWA NA NYWELE ZAO ZA ASILI. THAT SHOULD BE ONE OF THE PREREQUISITE.
ReplyDeleteNi kweli mdau hapo juu umesema kweli tupu. Most ya hao Ma Miss ni ma-Pritenders!! Ha ha ha!!
ReplyDelete